JE UNAKIPAJI CHA KUIGIZA? BASI HII POST INAKUHUSU,BONYEZA HAPA UPATE DEAL LA NGUVU

Kampuni Ya Tourism For Development Ya Nchini Tanzania Inapenda Kuwafahamisha Wale Wote Na Wanaojijua Kuwa Wanakipaji Na Uwezo Katika Sanaa Ya Uigizaji Kuwa Kutakua Na Usaili Wa Kutafuta Waigizaji Watakaoshiriki Na Kuingia Mkataba Na Kampuni Husika Katika Utengenezaji Na Ushiriki Wa Filamu Pamoja Na Tamthilia Zilizokwisha Andaliwa.
 MAHALI: DAR WEST PARK TABATA | KUFIKA KWA URAHISI UNAPANDA MAGARI YA TABATA SEGEREA AU TABATA KIMANGA KISHA UNASHUKA KITUO KINAITWA DAR WEST.

MUDA NA TAREHE: USAILI UNAFANYIKA SIKU YA LEO,TAREHE 23 . 11  . 2013 | SAA NANE MCHANA

PATA FOMU YAKO MAPEMA KWA SHILINGI ELFU TANO TU, KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA 0712016058
Moja Ya Filamu Zitakazokuja Chini Ya Kampuni Hiyo
USIKOSE MTU WANGU
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family