| Umati wa watu uliohudhuria mazikoni. |
Leo ndiyo yalikuwa mazishi ya Dj Rankeem Ramadhan aliyefariki dunia
Novemba 6 mwaka huu katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar, kwa
maradhi ya kidole tumbo. Mazishi yamefanyika jioni ya leo katika
makaburi ya Sinza jijini Dar na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.
(Picha: Chande Abdallah/GPL)
