Show hiyo inayofanyika mara moja kwa mwaka this time imepangwa
kufanyika 9th Dec….. siku yetu ya uhuru, Mambo kama haya yanaweza
kuvutia vijana kuingia kwenye musiq na pia kuweza kuongeza ajira kwani
kila Diamond anavyowezeshwa ndio anapopata nguvu ya kuajiri wengine
kupitia talent yake.
Ni kama ada kwa Diamond Platinum kujipanga kila show, kwani kila show
kwake ni kujipanga iipite nyingine ni matarajio ya wengi kama show hiyo
itakuwa kubwa na yenye mipango iliyosimama, Star huyo aliyetokea
Hongkong kupiga show yake kali amerejea nchini na kujipanga tena kwenda
Belgium kwa show nyingine kabla ya kuangusha c0-operate finest on
December lets wait and see whats popin…….

