Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu aliyemaliza muda wake,Leodger Tenga akimkabidhi MpiraRais Mpya wa shirikisho hilo,Bwa.Jamal Malinzi mara
baada ya kumshinda mpinzani wake aliyekuwa makamu wa Kwanza wa
shirikisho hilo Bw. Athman Nyamlani kwa kura 73 kwenye uchaguzi
uliofanyika katika ukumbi wa Water Front jijini Dar es salaam jana,
Katika uchaguzi huo Mgombea wa umakamu wa wa rais Walace Karia
amefanikiwa kuwashinda wapinzania wake Imani Madega na Ramadhan Nassib.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
8 months ago

