 |
| Diamond Na Davido |
Mkali
kutoka Afrika magharibi Nigeria Davido na mkali kutoka Afrika mashariki
Diamond wakali wamekutana na kuingia studio kufanya remix ya ngoma ya
“My No. One” . Kwa mara ya kwanza Davido na Diamond waliperform kwenye
Serengeti Fiesta 2013 Part 2 show amabayo ilifanyika jana JUmapili baada
ya wasanii wengine kushindwa kuperform katika Serengeti Fiesta part 1.
Bado hakuna taarifa kama ngoma hio ya “My No. One” itafanyiwa video lini
na itakuwa Tanzania au Nigeria au itafanyika kote Tanzania na Nigeria.