Super Star Huyo Aliye Onyesha Kituko Cha Aina Yake Siku Ya Jana Katika Tv Show Ya Shindano La X Factor Alipoenda Kuperfom linalofanyika Huko UK Baada Ya Kutinga Kivazi Kinacho Mchora Mwili Wake Kwa Ndani Huku Miguu Yake Ikiwa Imepakazwa Rangi Nyeupe .Picha Zaidi Kama Unavyoziona Chini




