HII NDIYO SIRI YA MAFANIKIO KWA WANAMUZIKI P SQUARE KUTOKA NIGERIA

Mapacha Machachari Katika Ulimwengu Wa Muziki Duniani Na Waliojizolea Umaarufu Mkubwa Nchini Mwao Na Hata Duniani Peter And Paul Okoye Mimi Na Wewe Tunawafahamu Sana Na Kwa Uzuri Kwa Jina La Kazi Yao Yaani P Square Wameeleza Kitu Ambacho Wanaamini Kuwa Ni Moja Ya Mafanikio Yao Katika Kazi Zao Za Muziki Ambayo Imewazolea Umaarufu Na Kuwapa Utajiri Mkubwa Ambao Umewafanya Kukuza Jina Lao Kimataifa Zaidi.
Katika Moja Ya Mahojiano Katika Kituo Maarufu Cha Radio Kijulikanacho Kama Cool Fm Kilichopo Ndani Ya Nchi Yao Yani Nigeria Presenter Huyo Anayejulikana Kama Mannie Aliwauliza Na Kuwaomba Waseme Moja Ya Siri Ya Mafanikio Yao Ndipo Walipojibu Na Kusema

"Yote Na Tunayoamini Ni Moja Ya Vitu Vilivyofanya Na Kutufanya Tuzidi Kuwa Juu Ni Maombi,Kabla Ya Kutambulisha  Albamu Mpya Sokoni  Basi Huwa Tunafunga Na Kuomba Mwezi Mzima,Na Hii Ndio Kubwa Sababu Inayotufanya Tufanikiwe Katika Industry Hii Ya Muziki Ndani Na Nje Ya Nchi"


 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family