
Dully Sykes Na Mwana FA Katika Usiku Wa The Finest Kama Zamani @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
Linah, Mwana FA Na Maua On Stage @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA.
Vanessa Mdee na B12 katika viwanja vya Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam kabla ya "The Finest" Kama Zamani Show.
Asma Makau, Jojo, Shadee & A Friend Wakiwa Nje Ya Ukumbi Wa
Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam Wakiingia ndani kwa ajili ya "The
Finest" Kama Zamani Ijumaa 14/6/2013.
