HIVI NDIVYO VANESSA MDEE ALIVYOSHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA




vanessa-mdee-birthday-4
Mastaa wa kumwaga walikua miongoni mwa wageni takriban 100 walioalikwa kwenye birtday party ya Vanessa Mdee. Pamoja na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Vanessa pia aliitumia fursa hiyo kujipongeza kwa kutajwa kuwania Kili Awards mwaka 2013, zinazofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Baadhi ya wasanii na watu mashuhuri walioalikwa kwenye party hiyo ni Izzo B, Weusi, Mwana FA, AY, Shaa, Master Jay, Salama Jabir, Marco Chali, Quick Rocka, Lina, Ommy Dimpoz, producer Master J. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Linah, Izzo B, Shaa, Ommy Dimpoz, G-Nako.

vanessa-mdee-birthday-3
vanessa-mdee-birthday-1
Shaa
Mdogo wa Vanessa (wa katikati), Avid (kulia) na mshkaji
 Mdogo wa Vanessa (wa katikati), Avid (kulia) na mshkaji
Vanessa na mdogo wake Vanessa na mdogo wake
Vanessa Mdee na B12 Vanessa Mdee na B12
Izzo B, Mima, B12, Quick Rocka 
 Izzo B, Mima, B12, Quick Rocka
Weusi G Nako na Joh Makini 
Weusi G Nako na Joh Makini
Izzo B akimkaba kiutani producer Master J 
Izzo B akimkaba kiutani producer Master J
Linah 
Linah
Ommy Dimpoz akitumbuiza 

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family