Wimbo bora wa mwaka: Dear God – Kala Jeremiah
Msanii bora wa Kiume - Diamond
Msanii bora wa kike - Lady Jaydee
Msanii bora wa kike Taarabu - Isha Mashauzi
Msanii bora wa kiume Taarab - Mzee Yusuf
Msanii bora wa kiume Bongo Flava - Diamond
Msanii bora wa kike Bongo Flava - Recho
Msanii bora wa Hip Hop - Kala Jeremiah
Msanii bora wa kiume Bendi - Chalz Baba
Msanii bora wa kike Bendi - Luiza Mbutu
Msanii bora anayechipukia - Ally Nipishe
Video bora ya mwaka: Baadaye – Ommy Dimpoz
Mtunzi bora wa mashairi Taarab - Mzee Yusuf
Mtunzi bora wa mashairi Bongo Flava - Ben Pol
Mtunzi bora wa mashairi hip hop - Kala Jeremiah
Mtunzi bora wa mashairi Bendi - Chalz Baba
Mtayarishaji bora wa mashairi muziki wa kizazi kipya- Man Walter
Mtayarishaji wa wimbo wa mwaka: Taarab - Enrico
Mtayarishaji wa wimbo mwaka: Bendi - Amoroso
Mtayarishaji chipukizi wa mwaka - Mesen Selekta
Rapper bora wa bendi - Fagasoni
Wimbo bora wenye vionjo vya asili: Chocheeni Kuni – Mrisho Mpoto ft Ditto
Wimbo bora wa bendi: Risasi Kidole – Mashujaa Band
Wimbo bora wa Reggae: Kilimanjaro – Warriors from The East
Wimbo bora wa Afrika Mashariki: Valu Valu – Jose Chameleone
Wimbo bora wa Bongo Pop: Me an You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee
Wimbo bora wa kushirikiana/
Wimbo bora wa Hip Hop: Nasema Nao – Nay wa Mitego
Wimbo bora wa Rnb: Kuwa na Subira – Rama Dee ft. Mapacha
Wimbo bora wa ragga/ dancehall: Predator – Dabo
Wimbo bora wa Taarab: Mjini Chuo Kikuu – Khadija Kopa
Wimbo bora wa zouk rhumba: Ni wewe – Amini
Bendi bora ya mwaka: Mashujaa Band
Kikundi bora cha Taarab: Jahazi Modern Taarab
Kikundi bora cha muziki wa Kizazi kipya: Jambo Squad
Hall of Fame – Institution: Kilimanjaro Band wana Njenje
Hall of Fame – Individual: Salum Abdallah hao chini ni watoto wake































