Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Igunga-Tabora ndugu Dalaly Peter KAFUMU
amerudishiwa ubunge wake na mahakama leo hii asubuhi baada ya aliyekuwa
mgombea kupitia CHADEMA ndugu Kashinde kushindwa kuwakilisha risiti ya
hati ya kiwanja wakati wa kesi ya msingi ya kwanza,Hivyo CHADEMA
wamepoteza huko Igunga