Watu wengi waliangua kilio huku wakichukua picha za kiongozi wao aliyefariki dunia
Mwili wa Chavez umelazwa katika kituo cha mafunzo ya kijeshi mjini
Caracas na marais wa nchi jirani walifika kutoa heshima zao za mwisho
akiwemo Rais wa Bolivia Evo Morales na mwenzake wa Argentina Cristina
Fernandez de Kirchner.Mama yake na watoto wake walikusanyika mbele ya jeneza kutoa heshma zao .
Kifo chake kilitangazwa na serikali ya Venezuela Jumanne wiki hii
Mwaka
uliofuata Chavez alichaguliwa na wananchi kuongoza kwa muhula wwingine
wa miaka sita kuiongoza Venezuela .Watu wengi waliangua kilio huku
wakichukua picha za kiongozi wao aliyefariki dunia .
Mwaka 2011 Chavez alisema kuwa anapokea matibabu ya Saratani nchini Cuba
Chavez alionekana kama mpigania haki za watu maskini kwa kusisitiza sera zake za kisosholisti na kuzichanganya na demokrasia.
Mwili
wa Chavez ulipitishwa katikati ya mji mkuu Caracas na kusindikizwa na
maelfu ya watu waliomuunga mkono,Watu wengi waliangua kilio huku
wakichukua picha za kiongozi wao aliyefariki dunia .
Chavez
alikuwa na maadui wengi pamoja na wale waliomuona kama mwokozi wao kwa
sababu ya sera zake za kisosholisti.Watu wengi waliangua kilio huku
wakichukua picha za kiongozi wao aliyefariki dunia .
Hugo Chavez hakupendwa na kila mtu Venezuela wakati wa utawala
wake.Wapinzani wa Hugo Chavez wakisherehekea katika moja ya kumbi za
maburudiko baada ya kupokea habari za kifo chake mjini Florida, Marekani. Picha Kwa Hisani ya Reuters na AFP
Mwili wa mareheu rais Hugo Chavez wa Venezuela, umelazwa katika
kituo cha mafunzo ya jeshi katika mji mkuu Caracas Mapema leo mwili wa
marehemu Chavez ulipitishwa kwenye umati mkubwa wa wafuasi wake katika
mitaa ya mji mkuu Caracas. Watu wengi waliangua kilio huku wakichukua picha za kiongozi wao aliyefariki dunia.Mama yake na watoto wake walikusanyika mbele ya jeneza kutoa heshma zao .
Makamu wa rais Nicolas Maduro anaongoza shughuli hiyo.
Mwili wa rais Chavez umepelekwa katika chuo cha kitaifa cha mafunzo ya
kijeshi ambapo utazikwa kesho Ijumaa. Bwana Chavez alifariki akiwa umri
wa miaka 58 baada ya kuugua Saratani kwa zaidi ya miaka miwili. Maelfu
ya watu awali walikwenda barabarani mjini
Caracas kutoa heshima zao za mwisho kwa Chavez wakifuatana na gari
lililokuwa limebeba jeneza lake kuelekea katika chuo cha mafuzno ya
jeshi.
Mazishi ya kitaifa ya Chavez yatafanyika Ijumaa.
Mkuu wa ulinzi wa Rais alinukuliwa akisema kuwa alikuwa na bwana Chavez
alipofariki. Generali Jose Ornella, alisema kuwa Chavez
alifariki kutokana na mshtuko wa moyo na katika siku zake za mwisho
kabla ya kifo cha ealisema angependa kuendelea kuishi. Jeneza lake
lililokuwa limefunikwa bendera ya
nchi hiyo uliwekwa katika ukumbi ambao ni kumbukumbu ya waliopigania
uhuru wa watu wa Amerika ya Kusini
Maelfu ya watu walipanga foleni kutoa heshima
zao za mwisho kwa marehemu Chavez, wakiwemo maafisa wa serikali na
viongozi wa Amerika ya Kusini,kama Rais wa Bolivia Evo Morales na Rais
wa Argentina Cristina Fernandez de Kirchner.
Source: BBC SWAHILI