ANDROID WATAMBULISHA APPLICATION YA KUPERUZI HABARI ZOTE KUTOKA TANZANIAN






Apprux application inapenda kuwatangazia kupatikana kwa android application buree yenye uwezo wa kukusaidia kuperuzi kwenye vichwa vya habari vya baadhi ya blogs, website na magazeti ya Tanzania, pia inakupa uwezo wa kuona habari toka kwenye original source kwa urahisi zaidi
Application hii imetengenezwa kwa ajili ya watanzania na ni bure kabisa. 

Kwa wote wenye  phone yenye android 2.1 na kuendelea unaweza kutumia hii application kwenye simu yak bila shida.

Tunategemea itawasaidia, pia tunakaribisha maoni yenu kupitia email ya 2brothers9093@gmail.com



Au kwenye simu yako ingia kwenye store halafu search peruzi
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family