Mario
Gotze akiwapita Cesar Azpiliciueta wa Sergio Busquets wa Hispania katika
mchezo wa kirafiki wa kimataifa mjini Vigo. Ujerumani ilishinda 1-0,
bao pekee la Toni Kroos dakika ya mwisho.
Gotze akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Hispania, Sergio Ramos