Nyota
wa muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' akilitawala
jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho
la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba
mjini Mwanza lililofanyika mwishoni mwa wiki,tamasha hilo litaendelea
kwenye miji mingine ya Bukoba na Kahama mwishoni mwa wiki.
Baada ya kazi ya kuwaburudisha mashabiki wake,Mara Wema Sepetu a.k.a shemeji nae akajiunga kumpa sapoti mpenzi wake jukwaani.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014 lililoanza
rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014 lililoanza
rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani
wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014
lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni
mwa wiki.
Diamond
na Ney wa Mitego wakioneshana umwamba wa kuwateka mashabiki kila mmoja
kwa staili yake,huku miluzi na Shangwe ikiwa imtawala ndani ya uwanja.
Mmoja
wa wasanii anaefanya vyema kwa sasa katika anga ya muziki wa bongofleva
Vanessa Mdee a.k.a V Money akitumbuiza mbele ya maelfu ya wakazi wa
jiji la Mwanza (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi kushuhudia
mrindimo wa tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba
jijini humo,tamasha hilo limefanyika mwishoni mwa wiki.