Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na
Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo, makao makuu ya jeshi la polisi
jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya binadamu vilivyokamatwa
jana INGIA HAPA KUONA TUKIO HILO.Kamanda Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.
Kamanda Kova amesema kuwa jopo la Wataalamu saba limeundwa kuchunguza tukio hilo na amethibitisha kuwa viungo vile vilikuwa ni vya maiti,ambavyo hutumika na madaktari kwa elimu ya matibabu na utafiti.