SOMA NA KUSIKILIZA HABARI YA KUSIKITISHA INAYOMHUSU MTOTO ALIYEKATWAKATWA MIKONO KWA KISA CHA TSH ELFU KUMI





mtoto



Hii inatokea maktaba ya matukio ya kusikitisha kwenye idara ya  Hekaheka Kipindi Maarufu Kinachorushwa Na Kituo Cha Redio Kijulikanacho Kama Clouds Redio na leo ni kuhusu dada aliyeamua kumkata mikono kwa kisu mtoto wa ndugu yake kisa kikiwa ni shilingi elfu 10 ambazo anadai aliibiwa na mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba,hapa utamsikia mtoto mwenyewe na mwalimu aliyempokea akiwa kachomwa moto.

Bonyeza play kusikiliza.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family