![]() | |
| Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Ambaye Mmiliki Wa Nyimbo Inayohit Mpaka Leo Inayoitwa "One And Only" Kutoka Endless Fame Kampuni Inayomilikiwa Na Mwanadada Maarufu Afrika "Wema Abraham Sepetu"Ambayo Inasimamia Kazi Za Msanii Huyo,Hapa Tunamzungumzia Mirror Ambaye Pia Ni Member Wa Kundi Lililoanzishwa Na Marehemu Albert Mangwair Linalofahamika Kwa Jina La "Deja Vu Music",Amefanya Collabo Na Msanii Nguli Afrika Mashariki Anayefahamika Kwa Jina La Dr Jose Chameleone .Wimbo Huo Umerekodiwa Katika Studio Za Am Record Chini Ya Mtayarishaji Wa Muziki Nchini Wengi Tunamfahamu Kama Manecky Emmanuel.Kaa Tayari Kwa Ngoma Kali |

