KAMA ULIMISS HABARI YA HUYU PAKA ALIYEOKOA MAISHA YA MTOTO ALIYETAKA KUDHURIWA NA MBWA IPO HAPA CHUKUA TIME YAKO KUISOMA

Screen Shot 2014-05-15 at 5.53.26 PM
Yani hii imehuzunisha watu wengi sana kwa jinsi mtoto alivyovamiwa lakini ikawapa furaha baadae baada ya paka aitwae Tara kutokea na kumuokoa huyu mtoto ambae wanaishi nyumba moja huko California Marekani.
Hata hivyo mtoto huyu aliepatwa na mkasa huu akiwa anacheza nje ya nyumba yao anaendelea vizuri baada kutibiwa jeraha hilo la Mbwa wa jirani ambapo baadae alipelekwa hospitali na kutibiwa majeraha hayo madogo ya mguuni.

Screen Shot 2014-05-15 at 9.51.05 PM
Unaweza kutazama video yenyewe hapa chini.

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family