Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la Marehemu Adam Philipo Kuambiana,muda mfupi baada ya shughuli za mazishi kukamilika.
Jacob Steven 'JB',akiweka shada kwenye kaburi hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Global Publishers LTD,Eric James Shigongo akitoa salamu za mwisho kwenye mwili wa marehemu Adamu Kuambiana.
Mtangazaji wa Kipindi cha Jahazi kinachorusho na Clouds FM,Ephraim Kibonde akipita kuaga mwili wa marehemu Kuambiana.
Msanii
wa filamu Davina akibebwa baada ya kuzidiwa wakati wa kuuaga mwili wa
marehemu Adam Kuambiana kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini
Dar es Salaam leo.
HABARI/PICHA:MUSA MATEJA/GPL
















































































