KUFUATIA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA JIJINI DAR,DARAJA LA MAPINGA LABOMOKA


Eneo La Daraja Hilo Lililo Meguka Na Kwenda Na  Maji



Baadhi Ya Watu Waliokwama Kutokana Na Ubovu Wa Daraja Hilo Uliosababishwa Na Maafuriko Ya Maji Yaliyotokana
Na Mvua Kubwa Zinazoendelea Kunyesha Haswa Jijini Dar Es Salaam Na Kwengineko Nchini Tanzania

Kufuatia mvua kubwa zinazonyesha jijini Dar, Daraja la Boko lililopo Barabara ya Bagamoyo limebomoka na kufunga mawasiliano!
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family