
Naibu
Waziri wa Afya Zanzibar Dokta Sira Ubwa Mamboya akimkaribisha Makamu wa
Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi katika uzinduzi wa kampeni za kutoa
huduma za kisukari na shindikizo la damu zitakazofanyika Mikoa yote ya
Zanzibar.

Makamu
wa Pili wa Rais Balozi. Seif Ali Iddi akiwahutubia Madaktari na
wananchi waliofika katika uzinduzi wa kampeni za kutoa huduma za
kisukari na shindikizo la damu huko ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa Suza
Mjini Zanzibar.

Balozi Seif na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Sira wakikagua utoaji huduma mara baada ya kuzindua.
