David
Lamuya kutoka Muungano wa Utepe Mweupe
(THE WHITE RIBBON ALLIANCE ) akimvisha utepe mweupe Waziri mkuu Mizengo Pinda wakati ujumbe huo
ulipomtembelea ofisini kwake leo. Kampeni yao inaitwa Wajibika Mama Aishi.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka
Muungano wa Utepe Mweupe walipo mtembelea ofisini kwake
leo jijini Dar es salaam .Muungano wa
Utepe Mweupe wanaedesha kampeni inayoitwa
Wajibika Mama Aishi. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
