![]() |
Diamond aliwahi kusikika akizungumzia kuhusu kuja kwa nguo zake ambazo zitakuwa na brand ya WCB na kuuzwa kwenye maduka mbalimbali.
Mwaka jana Diamond alikaa China zaidi ya wiki nzima kabla ya kufanya
show ambapo moja ya mipango iliyomuweka ni kufanya maandalizi ya nguo
hizo.
Muda wa kuzitoa unaonekana umekaribia kutokana na teaser aliyoitoa kupitia account zake za mitandao ya kijamii kuhusu hizo nguo.
|



