Waziri mkuu Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa mradi wa umeme wilaya ya Nanyumbu kulia ni waziri wa nishati na
madini Prof Sospeter Muhongo na kutoka kushoto ni Meneja Mwandaminzi wa
TANESCO, Kanda ya Dar es salaam na Pwani
inayojumuisha mikoa ya Lindi na
Mtwara Mhandisi Mahende Mugaya,mkuu wa
wilaya ya Nanyumbu, mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal mstaafu Joseph Simbakalia,
Mbuge wa Nanyumbu Dastani Mkapa.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akiangalia moja kati ya magari yaliyo chomwa moto nyumbani kwa Mbuge wa Masasi Mariam Kasembe wakati wa vurugu mwaka moja uliopita alipotembelea wilaya hiyo.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiangalia Mpira wa Matambara wa kijana Hasani Kasim
alipokuwa katika ziara ya kukagua adhari za vurugu mwaka mmoja uliopita
katika Wilaya ya Masasi .
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiangalia Mpira wa Matambara wa kijana Hasani Kasim
alipokuwa katika ziara ya kukagua adhari za vurugu mwaka mmoja uliopita
katika Wilaya ya Masasi .
Sehemu ya jengo la CCM Wilaya ya Masasi ambalo liliteketezwa na moto mwaka jana. (Picha zote na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri mkuu Mizengo
Pinda akikagua nyumba ya Mbuge wa Masasi Mariam Kasembe ambayo
ilichomwa moto wakati wa vurugu mwaka moja uliopita alipotembelea wilaya
hiyo.Kulia ni Omary Lada mume wa Mbuge
