Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiongea na
waandishi wa habari (hawapo pichani) leo ofisini kwake jijijni Dar es
Salaam mara baada ya kurudi kutoka Mkoa wa Morogoro alipokwenda
kutembelea wananchi waliokumbwa na mafuriko yaliyotokea jana. Mafuriko
yalisababisha wanachi kukosa huduma za jamii ikiwemo usafiri wabarabara
kutoka Dodoma kuja Morogoro na Morogoro kwenda Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiongea na
waandishi wa habari leo ofisini kwake jijijni Dar es Salaam juu namana
Wilaya za Gairo na Kilosa zilivyoathirika na mafuriko yaliyotokea
mkoani Morogoro ambapo usafiri unatarajiwa kurudi katika hali yake ya
kawaida takribani baada ya siku tatu hadi nne. (Picha zote na Eleuteri Mangi- MAELEZO)


