Kama
kizimbani; Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Soka ya Yanga ya Jijini Dar es
salaam Clement Andrew Sanga akiomba radhi kwa Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar pamoja na Kamati ya Mashindano ya Mapinduzi Cup jana kwa
kutoshiriki kwa timu yake katika mashindano hayo kulikosababishwa na
matatizo yaliyoshindwa kuepukika.
Hamna
lolote, mmewakimbia Simba tu nyie; Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Soka
ya Yanga ya Jijini Dar es salaam Clement Andrew Sanga akikabidhi
mchango wa Shilingi Milioni Kumi uliotolewa na Klabu ya Yanga kusaidia
mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.


