MUONEKANO MPYA WA MUIGIZAJI LULU TANGU ATANGAZE KUACHA POMBE

 
Lulu akiwa katika muonekano mpya na hii ni baada ya mdada huyu kutangaza kuachana na matumizi ya kilevi jambo ambalo kila mpenda watu wastaarabu watakuwa wamemuunga mkono kwa kitendo hicho kwani pombe imekuwa ikiwabadilisha akili watumiaji wake na kujikuta wakifanya mambo yanayowakera watu ama jamii kwa ujumla. 

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family