







Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere
karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa jioni
hii katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la tukio ambako hali
bado si shwari. Sehemu iliyoathirika zaidi ni ghala la kutunzia dawa za
binadamu la kampuni ya Philips. PICHA NA SHUMBUSHO
