KAKA AIFUNGIA MILAN BAO LA 100.

Kiungo wa AC MILAN raia wa Brazil Ricardo KAKA ameifungia timu yake mabao mawili kwenye ushindi wa mbao 3-0 dhidi ya ATALANTA kwenye mchezo wa Serie A.
kaka kabla ya mchezo wa leo alikuwa ameifungia Milan mabao 99.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family