COASTAL UNION YAANZA VIZURI MAZOEZI OMAN

Coastal Union (wenye jezi nyekundu) wameanza ziara yao ya Oman leo kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji Musannaa. Coastal ipo huko kwa ziara ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family