UJUMBE WA WEMA SEPETU KWA MASHABIKI ZAKE WA MITANDAO YA KIJAMII

wema1
Tangu Wema Sepetu apate msiba wa baba yake marehemu Mzee Abraham Sepetu amekua kimya sana kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram ambapo Wema hupendelea kukutana na fans wake. Ukimya wake umewasumbua fans wengi ambao wamem-miss sana na Wema amewaandikia ujumbe huu.
 wema
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family