![]() |
Mtandao
wa dstv.com umeripoti kwamba baada machungu ya kufiwa na mpenzi wake
Mnigeria Goldie, CMB Prezzo wa Kenya kwa sasa amepata mpenzi mpya ambae
ni Mtanzania, miezi kadhaa iliyopita ndio Prezzo ameangukia mikononi mwa
penzi la Tillya ambae ni blogger na pia mfanyabiashara.



