
Ni furaha kuona kuna mashabiki wa bongofleva wa ngozi hii tena wanaimba nyimbo hizo kwa kiswahili na kuzipenda… ni mashabiki wa Ali Kiba ambao wako Marekani.
Mwanamitindo Flaviana Matata alifanya mawasiliano na Ali Kiba kwenye
twitter kumfahamisha kuhusu hawa fans wanaojua karibu nyimbo zote za
Kiba.

