DIAMOND AFANYA VIDEO YA MY NUMBER ONE REMIX CHINI YA DIRECTOR MKUBWA NCHINI NIGERIA,TIZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE


diamond
Diamond anaweza kuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania kufanya video na director mkubwa wa Nigeria Clarence Peter ambaye ameshafanya video nyingi za wasanii wakubwa nchini Nigeria na Africa kwa ujumla.
Diamond ame-post picha moja ya behind the scene wakiwa wanatengeneza hiyo video na aliandika hii caption , “Naamini ipo siku nasi Tanzania tutasimama vyema katika ramani hii ya muziki worldwide na kuipa sifa na heshima zaidi East Africa yetu. Eeeh Mwenyezi Mungu ibariki Tanzani, ibariki East Africa na Africa yetu kwa ujumla. #LastNight #Onset #NumberOneRemix#DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera”
diamond2
diamond3
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family