 |
| Ikiwa ni moja kati ya hatua zake kwenye mafanikio zaidi na kuthaminiwa
kwa mchango wake mbele ya jamii inayomzunguka, Ommy Dimpoz kutoka PKP
Entertainment ameteuliwa kuwa balozi wa kinywaji cha Bavaria. |
 |
| Katika party iliyofanyika ndani ya Maisha Club siku ya Ijumaa tarehe
25/10/2013 iliyofahamika kama Grand Launch of Bavaria 8.6 Black Beer,
mara baada ya kupiga show ya nguvu Ommy Dimpoz aliupandisha uongozi wa
Bavaria uliopo pale wakati ule na kwa heshima kabisa mmoja wa viongozi hao alimtambulisha Ommy kuwa ndiye Balozi wa kinywaji hicho. |
BAADHI YA MATUKIO KATIKA SIKU HIYO