HII NDIO VIDEO MPYA ALIYOIACHA MAREHEMU LANGA,CHUKUA TIME YAKO KUITAZAMA HAPA
Marehemu
Langa Kileo juzi Jumatatu aliachia Audio na baadaye Video ya ngoma yake
mpya iitwayo "Rafiki Wa Kweli" ambapo kupitia ukurasa wake wa Facebook
aliwataka mashabiki wake kuangalia video hiyo na nyinginezo kama Pipi ya
Kijiti, Matawi ya Juu na Gangsta!