HII KALI YA MWAKA ILIYOTOKEA MBEZI,HEBU ICHEKI MTU WANGU
Tanzania
social media trending image: Mwanamke aliyekaa juu ya nyumba yake kwa
siku tano kuzuia isipigwe mnada na madalali wa Tanzania Investment Bank
eneo la Mbezi Tangi Bovu. Updates: Mahakama imetoa amri nyumba hiyo
isipigwe mnada.