Hali
ya mzee MADIBA au NELSON MANDELA yalipotiwa kuwa si nzuri,hii ni baada
kuripotiwa kulazwa katika hospital moja huko PRETORIA, AFRIKA KUSINI.Jina la
hospitali alipolazwa haijajulikana rasmi,
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa familia yake anasumbulia na ugojwa wa MAPAFU,na madaktari wanaendelea kumhudumia.Wananchi nchini AFRIKA KUSINI katika makanisa karibu yoote wanaendelea kumuombea mwanasiasa huyo mkongwe wa AFRIKA KUSINI apate nafuu haraka.
