TAARIFA ILIYOTUFUKIA CHUMBA CHA HABARI
CHA GLOBU YA JAMII,INAELEZA KUWA
MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYADA
LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI
DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA KATIKA
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI ALIKOKUWA
AMELAZWA.
LANGA AMBAYE INADAIWA KUWA ALIPATWA
NA MALARIA KALI SANA HALI ILIYOPELEKEA
KUKIMBIZWA HOSPITALI SIKU YA JANA.
CHA GLOBU YA JAMII,INAELEZA KUWA
MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYADA
LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI
DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA KATIKA
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI ALIKOKUWA
AMELAZWA.
LANGA AMBAYE INADAIWA KUWA ALIPATWA
NA MALARIA KALI SANA HALI ILIYOPELEKEA
KUKIMBIZWA HOSPITALI SIKU YA JANA.

