BREAKING NEWZ:HALI SI SHWARI ARUSHA,MABOMU YARINDIMA,ENEO WALIOKUSANYIKA WANACHAMA WA CHADEMA,NI KATIKA VIWANJA VYA SOWETO

BREAKING NEWS: Kutoka Arusha tunataarifiwa kuwa askari wanatumia mabomu ya machozi
katika kutawanya wanachama wa CHADEMA waliokusanyika katika eneo la Soweto.
kwa habari Zaidi Tutakujuza Hivi Punde Endelea Kutembelea 2brothers Blog

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family