Wasamaria wema wakisaidia kumpakia kwenye gari kwa kumpeleka hospitalini
Damu ya marehemu ambayo kwa kiasi kikubwa imetoka kichwani baada ya kupasuka vibaya
Mwili wa marehemu ukiwa tayari kuondolewa kwenda hospitali
Hii ndio daladala ambayo marehemu alikuwa akitaka kudandia na kudondoka kwa bahati mbaya
Umati wa watu ukishuhudia ajali maeneo ya Ilala Boma asubuhi hii
Askari wa usalama barabarani akichukua maelezo kwa dereva aliyesababisha ajali.
