MWENYEKITI WA BARAZA LA MITIHANI AGOMA KUBADILI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012,ATISHIA KUJIUZULU ENDAPO WATAKAIDI MSIMAMO WAKE

Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani la Taifa-NECTA ambaye pia ni Makamu Mkuuwa Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam,Prof.Rwe kaza Sympho Mukandala amesema hayuko tayari kubadili matokeo ya Kidato cha Nne.Chanzo cha karibu cha Prof.Mukandala kinadai kuwa mara baada ya kutolewa taarifaya Serikali inayotaka 'kuboreshwa' kwa matokeo hayo,Prof.Mukan dala ameonesha kukataa amri
hiyo hadi sasa. 'Sisi tulipitisha matokeo hayo mbele yao na kwa idhini yao. Iweje leo Baraza libadili matokeo?.Tunafa nya hivi kwa faida ya nani na kwa ustawi wa elimu ya wapi?' alinukuliwa akihoji Prof.Mukandala. ­Habari za kuaminka zinadai kuwa Prof.Mukandala pamoja na Katibu Mtendaji Dr.Joyce Ndalichako wanajiandaa kuachia ngazi kama Serikali itasimamia uamuzi wake huo.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family