Account hii inayotumia jina la Adam Mchomvu sijajua kama ni yake ama
fake na kama yake wame hack wakaandika au ameandika yeye mwenyewe, sitii
neno hapa.....
Baada Ya Muda Mchache Na Lawama Nyingi Alizopokea Kutoka Kwa Fans Wake Kuhusu Sakata Hilo,Mchomvu Aliandika Hivi Kwenye Wall Yake Ya Facebook
" Naomba kuchukua nafasi hii kuomba radhi kwa yeyote aliyekwazika kwa maneno machafu yaliyoandikwa kwa wall yangu, na pia naomba nieleweke kwamba sihusiki na chochote kupost au kuandika chochote kuhusu kikwete foundation na picha za jdee ukiwa naked, sina ugomvi na yeyote naheshimu hisia za kila mtu nikiamini kila mtu Anamaamuzi yake.. Aliyeamua kutumia jina langu kufanya hao najua sasa unajiskia vizuri baada ya matusi mengi niliyotukanwa.. Maisha hayaishii hapa siku zinaenda na ukwali utafahamika siku moja ... Mchana mwema !!"
Na Hivi Ndivyo Kinachoendelea Katika Account Ya Adam Mchomvu Tangu Alipo post Hiyo Link Hadi Sasa