LWAKATARE AACHIWA HURU NA KUSHIKILIWA TENA


Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema Wilfred Lwakatale akiwasalimia wafuasi wa chama hicho kwa ishara ya vidole viwili baada ya kuwasili katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
*********
Breaking News:Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na jeshi la polisi kwa siku 6 kwa tuhuma za uchochezi lakini akakamatwa tena muda huo huo kwa tuhuma za ugaidi na kutakiwa kupelekwa ngazi ya juu ya Mahakama kwa kuwa mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kusikiliza kesi ya ugaidi
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family