BAADA YA KIMYA CHA MUDA,LULU AFUNGUKA KUPITIA ACCOUNT YAKE YA TWITTER

Wakati zimebaki siku chache tu kutimia mwaka mmoja tangu msanii marehemu Steven Kanumba afariki dunia, msanii Elizabeth Michael a.k.a Lulu, ambaye bado anakabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusidia ya msanii huyo, Lulu azungumza...
Ikiwa ni kwa mara ya kwanza, Lulu (@hotlulumichael) ametweet maneno kadhaa katika ukurasa wake wa twitter zikionesha na kuthibitisha anavyomkumbuka na k**-miss Marehemu Kanumba.
Cheki tweets zenyewe hapa chini:


 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family