![]() |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipiga kura, wakati wa uchaguzi wa Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM uliofanywa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, jioni hii, wakati wa Kikao cha NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo) |
![]() |
Makatibu
wa NEC, Zakia Meghji (Uchumi na Fedha) na Dk. Asha-Rose Migiro (Siasa
na Uhusiano wa Kimataifa) wakipiga kura, wakati wa uchaguzi wa Wajumbe
wa Kamati Kuu ya CCM uliofanywa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa
ya CCM, jioni hii, wakati wa Kikao cha NEC kilichofanyika katika ukumbi
wa White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa
NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (Picha na Bashir Nkoromo)
|


