TIMU YA TAIFA YAKABIDHIWA NA KIWANDA CHA BIA TBL BASI JIPYA

Basi la timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars likiwa limepaki ndani ya Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Ilala, Dar es Salaam tayari kukabidhiwa kwa uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) asubuhi ya leo.

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akihutubia wakati wa kukabidhi basi la taifa Stars

Beki wa Taifa Stars, Erasto Nyoni akishuka kwenye basi hilo

Kocha wa Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen akishuka kwebye basi hilo

Kocha Kim akiwa ameketi ndani ya basi na Nyoni

Nyoni akipanda basi

Msaa wa kundi la Wanne Star, akiwa amepaka rangi za bendera ya taifa, kuashiria mapenzi kwa timu yake ya taifa, Taifa Stars

Rais wa TFF, Leodegar Tenga kulia akiteta jambo na Katibu wake, Angetile Osiah kushoto. Katikati ni Kim Poulsen

Kutoka kulia Kim Pouslen, Tenga, Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetzsche, Meneja Masoko wa TBL, Kushila Thomas na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Kavishe wakati wa makabidhiano ya mfano wa ufunguo wa gari hilo

Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu kulia akiwa na mwandishi wa Star TV, Joyce Nsiima 

Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Sunday Kayuni akiwa na Nyoni kushoto 

Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetzsche akihutubia

Kushila kulia na Tenga kushoto wakifuatilia DVD ya basi la Taifa la Stars 

Hapa joto lilizidi, Tenga akijipepea na kujifuta kulia na Kim akijifuta jasho

Wasanii wa kundi la Wanne Star wakitoa burudani

Tenga akiwaelekeza jambo, Kim na Angetile

Tenga akihutubia 

Vijana wa Wanne Star wakifanya vitu vyao

Vijana wa Wane Star wakifanya mambo yao

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family