KANISA LACHOMWA MOTO ZANZIBAR ASUBUHI HII.

Kanisa moja limechomwa moto Visiwani ZNZ alfajiri ya leo na kwa Mujibu wa Kamishna wa polisi mjini MUSA ALI MUSA ,baadhi ya viti vya kanisa vimeungua na kwamba moto huo uliwahiwa kuzimwa kabla ya kusababisha madhara zaidi.Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea kwenye blog yetu....

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family