Kinana,
Migiro na Nape wakiwaaga wana-CCM na wananchi kwa ujumla katika
stesheni ya Dar es Salaam leo kabla ya kupanda treni kuelekea Kigoma kwa
sherehe za miaka 36 ya CCM.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipunga mkono baada ya kupanda treni
jijini Dar kuelekea Kigoma kwa sherehe za miaka 36 ya CCM.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro
akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma leo.
Kinana akipanda treni kuongoza msafara wa Sektretarieti waliosafiri kwa treni kwenda Kigoma kutoka Dar es Salaam jioni hii.
(Picha na Bashir Nkoromo)

